Msaada; Nifanyeje kuondoa dawa kwenye nywele?

Ingia you tube utapata tutorial kibao za dawa na jinsi ya kuosha
 
embu jaribu bia utuletee mrejesho coz me nakumbuka secondary yalitukutaga yakuweka dawa tukashauriwa iyo ya bia kuepuka kibano tukaishia kunyoa zungu
 
utalazimika kunyoa, dawa inachokifanya ni kumenya lea ya juu ya nywele na kuifanya nyembamba hence zinanyooka. Hamna jinsi unaweza kurudisha unatural kwa ubora ulio sahihi. Nyoa tu zitaota au acha kuretouch then uwe unazipunguza kidogokidogo hadi ukutie ambazo hazina dawa
 
Na mimi yalinikuta mwaka jana!!! Yaani nyweke ndefu kweli zikaharibika... Nilitamani kulia.
Nilitumia hiyo bia sijui lakini wapi!!!
Kurudisha nywele ni either uzinyoe au usiweke dawa kwa mda mrefu... Ata mwaka mzima... We unaosha tu na kutumia mafuta na kusuka.

Mimi niliamua kunyoa...
 
Huyo kwenye avatar ni wewe nini bibie
 
Back
Top Bottom