Salaam wakuu:
Nimeistall 3 mobile Broadband software ktk PC yangu kwa ajili ya internet connection kwa kutumia modem inayotumia SIM card.Huwa nikipigiwa simu hii software ina sense na inprovide sauti ila nikipokea sipati mawasilia (sisikii sauti ya anaenipigia),nifanyajeili niee kuwa Napata maasiliano ya upandewa pili