Msaada ni kweli egm unaweza somea hivi vitu

TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
625
181
Jamani naomba ushauri ni kweli EGM unaweza kusomea hivi vitu chuo kikuu Computer science na Mining eng.
 
Computer science unaweza soma kwa Egm bt kuna baadh ya vyuo ka udsm wanawabania,kwa hyo mining engineering probably lazma uwe ulikamua Pcm au PGM.over
 
Kuweza kusoma hizo course ulizozitaja. Wahitaji physics katika combination yako.
 
Back
Top Bottom