MSAADA: Nataka Kuformat Write Protected DVD

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
260
Heshima Zenu Wakuu.Mimi Nina DVD nyingi za movies mbalimbali nataka kuziforma lakini cha kusikitisha na cha ajabu sana kila nikijaribu kuformat naambiwa yo cant format this disk becouse it is write protected.Mimi natumia window sewen na kompyuta ya HP anayejua namna ya kufomati hizi dvd naomba anisaidie.NATANGULIZA SHUKRANI
 
  • Haiwezekani -huwezi fanya formating/ kufuta hizo movies kwenye hizo DVD
  • INAWEZEKANA kwa DVD-RW tu au CD-RW tu
 
Back
Top Bottom