Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
sasa hapa unatuambia nini?..
na kama ndio umeshafikia uamuzi bora basi mjadala ufungwe, kuliko kuendelea kuponda anything out of maamuzi yako na kusema ni ushauri usiofaa..
Asante Triplets kwa kunisaidia, maana nilishindwa hata nimjibuje aliposema kwamba yeye hajazungumzia mambo ya kuoa, nikadhani labda hayo maneno ya kuoa kapostiwa na mtu.