Msaada: Nataka kuanza biashara

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salaam wakuu,

The issue is, am planning to staRT my own business with a capital ranging from 5-10mill. Sina experience sana ya biashara so naomba kujuzwa biashara gani kwa hapa dar es salaam ni profitable na jinsi yakuiboresha biashara na kuifanya iweze kugrow.

Naomba kwa wana Jf ambao ni wafanyabiashara tafadhali muweze kunipa ushauri utakaonisaidia katika ndoto zangu za kujikwamua na umaskini.

Asanteni!
 
Unaweza kununua bajaj mbili @4m each. Bajaj moja kwa siku dereva atakuletea sh 15,000.=, ukiondoa gharama bajaj mbili kwa mwaka zitazaa bajaj moja mpya,running expenses zake ni ndogo sana.
 
ushauri wangu...mpe pesa zako jamaa mmoja humu ndani anaitwa Bishanga,atakununulia bajaj 2,baada ya mwaka mmoja bajaj zako 2 zitazaa bajaj 1 hivyo baada ya mwaka nenda kwa Bishanga atakupa BAJAJ 3 kisha atakufundisha jinsi ya kuzizalisha bajaj!
 
Back
Top Bottom