Msaada; Natafuta Watengenezaji wa mifuko ya kupaki bidhaa mbalimbali.

Mgoda simtwange

Senior Member
Sep 7, 2012
168
64
Wapi ndani ya jiji la dar naweza kuwapata watengenezaji/wauzaji wa mifuko ya size mbalimbali kwa ajili ya kupaki bidhaa za aina mbalimbali kama mchele, maharage, vitunguu. Zaidi zaidi nataka plastic bags zenye uwezo wa kubeba robo kilo, nusu kilo, kilo moja, kilo mbili, na tano na kumi. Tafadhali sana nawaomba wadau mnisadie
 
Nenda kariakoo pale soko kuu ila ingia/uliza soko dogo, iko mifuko ya kumwaga na size za kila aina
 
Back
Top Bottom