Hongkong

Member
Dec 27, 2022
51
139
Hi,

Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira.

Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
 
Hi

Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira

Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano 0784339078 au njoo pm
Mie Nina miaka 23 ninauwezo wa kufanya kazi hiyoo
 
Habari

Kaka zangu baba zangu dada zangu naombeeni mnisaidie jaman natafuta kazi mimi ni kijana mwema ambaye nina jituma sana naomba nisaidieni kwa mtu yoyote mwenye kazi hata kufua kesho mimi nitakuja kufua pleas
 
Location?

Mabosi zetu humu wasikivu na wenye huruma mno,weka details huenda wakakusaidia zaidi ya hapo.
 
[mention]Shemdela [/mention] njoo umsaidie kijana huyu pleas tajiri najua una range na una campuni
 
Hi

Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira

Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano 0784339078.
Habari. Naomba nikufunze kitu
1. Vizuri umetaja umri lakini haujata elimu na ujuzi wowote ulionao.
2. Uaminifu ni jambo muhimu lakini kwanza tafuta wadhamini wawili/watatu uwaombe wakudhamini pamoja na barua ya mtendaji wa kata unayotoka au unayokaa. Iwe ni mjini au kijijini. Kwahiyo hapa unapojitangaza ongeza kipengele kinachoainisha kuwa tayari unao wadhamini 3 na barua ya mtendaji wa kata.
3. Taja mji uliopo kwa sasa pia.
4. Na je umeshaoa au la
5. Dini yako pia itaje.
Mwisho, ambatanisha maneno... Niko tayari kufanya kazi kwa kujitolea kwa muda wa mwezi mmoja ili muajiri mtarajiwa aweze kutathmini uwezo wangu.

Haya kafanyie kazi haya kisha juma lijalo uje kuEdit Uzi wako.

Utapata kazi Chap. In shaa Allah

Nakutakia mafanikio kaka
 
jamani nikajua akishafanya haya mambo tayari unampa kazi
 
Habari

Kaka zangu baba zangu dada zangu naombeeni mnisaidie jaman natafuta kazi mimi ni kijana mwema ambaye nina jituma sana naomba nisaidieni kwa mtu yoyote mwenye kazi hata kufua kesho mimi nitakuja kufua pleas
😭😭😭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom