Msaada: Natafuta kazi yoyote

MOMPRENEUR

Senior Member
Jun 18, 2016
193
126
Habari wakuu,

Humu JF nadhani kuna maboss humu na waajiri mbalimbali hivyo nachukua nafasi hii kuomba msaada wa kupewa kazi yoyote itayonipatia kipato cha halali.

Umri wangu ni miaka 25 na kiwango changu cha elimu ni shahada (Bachelor degree) ya elimu. Napatikana Dar es Salaam.
 
Habari wakuu,Humu jf nadhani kuna maboss humu na waajiri mbalimbali hivo nachukua nafasi hii kuomba msaada wa kupewa kazi itayonipatia kipato cha halali.
Umri wangu ni miaka 25 na kiwango changu cha elimu ni stashahada(Bachelor degree).
Napatikana Dar es salaam        .
Mkuu wewe ni Bashite?
 
Wakuu jamaa kaomba Assist hapo, tumuangalie kwa jicho la tatu aweze kupata cha kuingiza kinywani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom