Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu mafao ya NSSF

ashidodi

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
287
334
Waungwana mpo, habari za majukumu!

Niende kwenye mada husika. Mimi nilikuwa nafanya kazi sekta binafsi kwa muda wa miaka mitatu, nikaacha. Baada ya muda wa miezi miwili nikaanza kufanya kazi sekta ya umma.

Je ninaweza kupata mafao yangu kutoka NSSF? Kumbuka kwa sasa nipo PSSSF.

Naomba wataalam wa haya mambo wanisaidie kupata majibu.

Nawasilisha.
 
Waungwana mpo, habari za majukum
Niende kwenye mada husika.
Mimi nilikuwa nafanya kazi sekta binafsi kwa mda wa miaka mitatu, nikaacha. Baada ya muda wa miezi miwili nikaanza kufanya kazi sekta ya umma. Je ninaweza kupata mafao yangu kutoka NSSF? Kumbuka kwa sasa nipo PSSSF.
Naomba wataalam wa haya mambo wanisaidie kupata majibu.
Nawasilisha
Wewe ni Skilled Labour au Unskilled??namaanisha ni msomi au kibarua??kama kibarua utapewa mafao yako,sasa kama una Elimu kuna kamlolongo,nadhani watahamishia huko Mfuko Mpya
 
Back
Top Bottom