msaada: namna ya kujitoa NSSF

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
nikiwa kama mfanyakaz,kwa miaka mitatu sasa nimechangia NSSF.Kutokana na sheria hii mpya nafikiria kujitoa,naomba mnpijuze ntatoka vp?
 
Huwezi kutoka maana sheria inamtaka kila muajiri na muajiriwa kuchangia katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Namna pekee ni kujiajiri ndio utakuwa huru
 
Back
Top Bottom