Msaada: Namna ya kufuta a blinking sms icon kwenye nokia E-6

Lasikoki

JF-Expert Member
Jan 10, 2010
640
118
Salaam wanabodi,

Simu yangu Nokia E-6 inaonesha kitufe cha sms at the top right corner kikiashiria 'sim card memory is full'. Hata baada ya mimi kudelete sms zote ingali inaonesha...

Tafadhalini naombeni msaada namna ya kuifuta. Nshawahi siku za nyuma kuona mada kama hiyo ikijadiliwa humu ndani but unfortunately nimeshindwa kulocate hiyo discussion

mbarikiwe nyote wakuu
 
yeah kulikuwa na disscussion kama hii some time back. hiyo blinking icon maanake ni kwamba kuna message haijafunguliwa lakini huioni kwenye inbox because nokia smartphones by default store and show phone txts only. kuifikia hio txt, nenda messaging>options>sim messages
pitia message zote zilizopo ndani ya sim na ufungue ambao haijafunguliwa
regards ** leh
 
Last edited by a moderator:
katika nokia hivo vialama vipo viwili na haviashirii sms full(am not sure). kama kipo kwa juu ina maana wewe ulituma message then ikafail solution yake kaisake hio message kwenye drafts au outbox. Kama kipo kwa juu right corner lakini sio juu kabisa kimeacha space kidogo ujue ni mesage ulizoreceive kuna ambayo hujaisoma.

Ushauri delete message za draf na outbox
 
mkuu @ chief-mkwawa......thank u 4 the response

unfortunately nimefuta sms zote hadi za draft na outbox but still kitu bado ina-blink tu

relly dunna what to do......
 
Kutokana na handset uliyowahi kutumia hapo kabla na laini uliyonayo msg zinaweza kuwa zipo saved kwenye device au kwenye SIM card. Kwa majibu yako naona utakuwa umefuta zilizopo kwenye device (handset) na si zile zilizopo kwenye SIM card. Shughulika na hizo.
 
Back
Top Bottom