Msaada: namna kupata whatapp kwenye pc

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
wakuu naombeni mnisaidie napataje hii kitu na mimi niweze kufurahia ulimwengu wa kidijitali
 
wakuu naombeni mnisaidie napataje hii kitu na mimi niweze kufurahia ulimwengu wa kidijitali
Ingia google search for WhatsApp web then ingia on your whatsapp fungua whatswebb camera itafunguka iambatanishe camera Kama unaipiga picha whatsapp web ya kwenye computer
 
download bluestack install kwenye pc yako

then download whatsapp apk kutoka google then install (ama kwa njia nyengine ila hii ni ndefu fungua bluestack search playstore then update ikimaliza download whatsapp kama unavyodownload kwenye simu)

baada ya hapo fungua whatsapp yako ila kuna taarifa utajaza kwanza kama gmail na vitu vingine ukimaliza whatsapp itafunguka,
enjoy
 
ingia Google andika whatsapp. Com itafungua page ya whatsapp download bonyeza itakupeleka kwenye whatsapp app download then install then utairuhusu Kupitia kwenye simu yako whatsapp website. Njia hii ni rahisi haitumii bluestack.
 
hii ndio njia bora hiyo bluestacks itafanya pc yake iwe slow bure
 
Ingia google search for WhatsApp web then ingia on your whatsapp fungua whatswebb camera itafunguka iambatanishe camera Kama unaipiga picha whatsapp web ya kwenye computer
This is perfect way to access whatsapp web. Huitaji kudown load
 
kama una whatsApp kwenye smartphone yako tayar basi download whatsApp web. kama huna whatsApp kwenye smartphone ndio unataka kutumia ya kwenye pc tu bas download bluestacks au genymotion
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom