Msaada: Nahitaji kukuonana na Mh. Lowasa.

Dedii

Member
Aug 16, 2010
76
7
Habari wanajf..

Kwa yeyote anayejua nitawezaje kuonana na Mh Lowasa,, naomba mnisaidie ninashida naye binafsi, sijui pa kumpata sijui kwake wala ofisi zake..

Kama huna mchango plse kaa kimya
 
Mbona unajistukia dogo... Mzee sasa hivi kasitisha kumwaga pesa. upepo wa urais umekuwa mgumu
 
Habari wanajf..

Kwa yeyote anayejua nitawezaje kuonana na Mh Lowasa,, naomba mnisaidie ninashida naye binafsi, sijui pa kumpata sijui kwake wala ofisi zake..

Kama huna mchango plse kaa kimya

mtafute pasco,yeye ndo anaratibu wagen wote wa rais mtarajiwa Lowassa
 
nenda pale kruizin mikocheni utamkuta mtoto wake fred anapenda sana kukaa pale na selukamba watakusaidia kumpata bosi wao na baba yao
 
Habari wanajf..

Kwa yeyote anayejua nitawezaje kuonana na Mh Lowasa,, naomba mnisaidie ninashida naye binafsi, sijui pa kumpata sijui kwake wala ofisi zake..

Kama huna mchango plse kaa kimya
Nenda kwake mbona panafahamika vizuri sana,
 
Habari wanajf..

Kwa yeyote anayejua nitawezaje kuonana na Mh Lowasa,, naomba mnisaidie ninashida naye binafsi, sijui pa kumpata sijui kwake wala ofisi zake..

Kama huna mchango plse kaa kimya

Noana Umetamani MISHIKAKI YA MONDULI ha ha ha haaa

cc Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Habari wanajf..

Kwa yeyote anayejua nitawezaje kuonana na Mh Lowasa,, naomba mnisaidie ninashida naye binafsi, sijui pa kumpata sijui kwake wala ofisi zake..

Kama huna mchango plse kaa kimya
Kaka/dada tatizo lako ni kama langu,nimefungua saloo maeneo ya mgodini huku Bulyanhulu na kuipa jina la Monduli One lakini nataka picha kubwa ya Mh Lowasa ili niweke mlangoni mwa saloon yangu,nilitaka tangu mwanzo kuweka post hapa JF lakini nikaogopa matusi na kejeli. Ukifanikisha tafadhari nipigie +255773338617 nakutakia dhamira njema.
 
Kama ni picha tu unataka rahisi tu fungua google andika lowasa picture utazipata kibao chagua unayotaka.Ila kama unamtaka kwa mengine utajijua.
 
ongeza juhudi mkuu. Ukishindwa kumpata itisha press conference pale town ukumbi wa habari na maelezo watakupa kumuona
 
Back
Top Bottom