The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,136
- 1,952
Jumapili njema iwe nanyi wote.
Nimekuja naombeni mchanganuo wa Biashara ya Stationary kwa Kuanzia vifaa ni vipi na aina gani ni nzuri.
Mambo ninayota stationary yangu iyafanye ni
1.Copy
2.Printing
3.Typing
4.Passport size
5.Lamination
6.Scanning
5.Kuuza Vifaa na makorokoro
Mwanzo huu naomba nianze kwa huduma hizo tuu.
Sijui hii biashara inafanywaje faida inapatikanaje, naomba Mtu ataenisaidia Kujua kazi hii tunaifanyaje kwa ubora na ufanisi.
Lakini namba Mbili ni kwamba nahitaji Mfanyakazi wa hiii stationary, kama upo na ushawahi ifanya hii kazi na unajua inavyofanywa na unahitaji kazi nitaomba uje PM.
MSHAHARA wako ni 240,000 kwa mwezi, Najua kuna mtu atashangaa imekuaje nimetoa mshahara wakati ofisi haijafunguliwa.
Kazi zipo za kutosha naamini Huyu mtu ataepatikana wakati tunasubiri wateja wa stationary kuna kazi zingine atakua anafanya.
MSHAHARA wake ni Huo 240k kwa mwezi (waliopo mkoani) Kama Huna pa kulala nitakupa Chumba Ukae Nitakulipia KODI nitakuwekea mahitaji muhimu ya mtu kuishi.
Mshahara wako utakua 150,000 kwa mwezi. Kwahiyo nahitaji mtu anaejua hii kazi kweli kweli.
Nikipata Wawili nitafurahi zaidi Stationary itakua na vitu vingi nnje ya stationary... Wawili wa Jinsia 1 ili waweze ku share Chumba (kama ni wa mkoani) me+me au ke+ke.
Naendelea kupokea Michango na ushauri kuhusu hii biashara faida yake inafanywaje hasara,nini cha kuepuka,nk.
Fungukeni nyote.