Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,899
- 72,600
🤣 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣
si jambo kiasi
Siku nyingine anza kuuliza namna hii
Asante kwa kunielewa na kufanyia kazi ushauri
😂😂uuaji huo jmnUnataka amchape? 14 months!!!
Weee, utamlazimisha kama hataki? Yule mtoto wangu niliyekuonyesha siku ile naye hataki kabisa kutumia pot yaani mtagombana hapo unaweza kudhani kwenye poti kuna mdudu kamng'ata...yaani anakaza miguu balaa. Na ukiona anakataa hivyo basi mbioni kujisaidia, raha yake ajisaidie kwenye nguo mfueEndelea kumlazimisha ajifunze kutumia pot hata akilia mlazimishe hivyohivyo baadaye atazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa miezi 14 bado anavalishwa Pampers?ni mazoea tu mbadilishieni pampers avae wakat wa kulala tu na safari
mama ahakiishe mtoto akiamka tu asubh unapanga either kwenye miguu au kwenye pot akshiba tu apangwe asiwe mvivu itasaidia kidogo
wangu yuko na six months lakini akishikwa na haja anahangaika mpaka nimpange akijisaidia tu anakua sawa na nilianza hivo tangu yuko na three months
😄😄 Kabisa mkuu..kuna age ya mtoto unatakiwa u-cope nae tu na utafute njia mbadala ya kumsaidia...Na sio kwamba ni kiburi au nini,ni uoga wa kitoto..kuna wengine wanaogopa vitu kama kupigwa picha n.k.😂😂uuaji huo jmn
Hahaha! Nimejikuta nacheka usanii wa mwanao! Eti naaga dunia!!chapa fimbo swalehe alkua na huo ujinga anakojoa kwenye sink
nlichapa sana hadi akaanza kujitetea eti ooh baba naaga Dunia
si jambo kiasi
mtoto mmoja bright sana namkubali sana mwanangu
Jibu sitoi
Weee, utamlazimisha kama hataki? Yule mtoto wangu niliyekuonyesha siku ile naye hataki kabisa kutumia pot yaani mtagombana hapo unaweza kudhani kwenye poti kuna mdudu kamng'ata...yaani anakaza miguu balaa. Na ukiona anakataa hivyo basi mbioni kujisaidia, raha yake ajisaidie kwenye nguo mfue
Sent using Jamii Forums mobile app
unasema tu hayajakukuta
Yule mtoto mmemdekeza tu.
Mimi mtoto akiwa anakataa hivyo Basi nitapambana naye hata wiki nzima,ntamlazimisha akae hapo hata kwa nguvu.
Baadaye anazoea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
sjaelewamatoto mengine yanatunzwaaaa du moaka raha
yes niliambiwa hivo halaf wangub sjkuza na hizo pampes akivaa ni tunaenda mahali au kalala na wakat mwengine hata nikienda sehem pamoja naye namvisha nepi kufua kwangu si kituhii quote uneikutakwa mademe S kamzesha pot tangu akiwa na miez mitatu sio kispot
,🤨🤨🤨 naona pm ngoja nikasome