Msaada,msaada wa key za ku'activate' window vista

Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,825
906
Wataalam,ninawaombeni msaada wenu,1) Ni namna gani ninaweza activate window vista, 2) Key ntakazotumia ku'activate' window vista!!!!!Hali ni mbaya kwa mkopyuta wangu,kila mara inataka ni'activate' window.Screen yake hainivutii tena maana imekuwa nyeusi!!!!NISAIDIENI NDUGU ZANGU,Natanguliza shukrani zangu
 
Kwa ushauri wa bure kabisa itoe vista na uweke window 7 coz window vista imefeli kimatumizi kwetu na kwengine duniani kutokana na udhaifu wa programu yenyewe. nimetumia kwa kipindi ila ndo program pekee niliyoiona nzito kuliko zote. kufeli kwa vista ndiyo kumepelekea toleo la window 7 ambayo ni sawa na upgrade ya vista.
Kama utahitaji master key ya window 7 ntakupatia ila ya vista nimeshindwa kukusaidia.
"goodluck"
 
fungua google andika ugaliwako.rar chagua yakwanza kabisa ni forum itafunguka ina link ya kudownload hiyo jina nlio kuambia download fungua utaget instruction kny hiyo forum ita kutatulia tatizo lako
 
Back
Top Bottom