msaada modem ya Airtel

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,767
10,526
ndugu zanguni watumiaji wa airtel,mwenzenu takribani wiki tatu sasa modem yangu iko slow kupitiliza,nikiweka bundle itaanza vizuri kwa kama dakika 5 hivi lakini baada ya hapo inachukua hata zaidi ya dakika 5 kuload page ,kibaya zaidi kudownload spidi inashuka mpaka 1-2kbs.Sasa tatizo hili sijui ni kwangu pekee ama kwa watumiaji wote.
 
jaribu kuondoa hiyo softwere ya modem then install upya hata mimi ilikuwa hivyo niliyoiondoa nikainstall sasa hivi iko fasta
 
mkuu nimefanya hivyo lakini tatizo bado lipo
 
Back
Top Bottom