ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 558
- 257
Salamu kwenu wakuu..naomba msaada hapa kidogo wa mawazo maana mimi nina modem ya safaricom Huawei E220 na inashida ya device kujidisconnect pale tu ninapo open browser inaniambia the device is unavailable then inaanza kujidetect yenyewe again lakini ukifungua tu browser linarudia tatizo,,wakuu mnaweza mkanisaidia labda inaweza ikawa na shida gani?
asanteni sana
asanteni sana