SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
Hallo wataalam wangu wa kompyuta na mambo ya IT. Nina modem ya Vodacom ninayoitumia kubarizi internet.Ni hii modem ndogondogo size ya flash disk.Nikishafanya connection inafanya kazi kama nusu saa hivi halafu inakata connection yenyewe. Inabidi niiondoe, ni-restart kompyuta na kufanya tena connection upya. Huu umekuwa ni usumbufu na kero kubwa kwangu. Nawauliza:Kwa nini modem yangu ina -disconnect yenyewe automatically? Natumia HP laptop,Windows XP.Natanguliza shukrani.