combra
Senior Member
- May 28, 2012
- 130
- 31
Naombeni msaada,
Nina ndugu yangu anaumwa cancer ya tumbo ila ameshafanyiwa operation na tumelipa gharama kubwa sana ila sasa hivi inatakiwa apate dawa kila baada ya wiki tatu ila gharama za dawa kwa dozi ni tshs 1, 832, 000/=
Kusema kweli hela hatuna tumeshindwa hata kumkatia bima, naomba kwa yeyote mwenye uwezo au anaefahamu mashirika ya msaada yanayoweza kutusaidia atusaidie maana mgonjwa hali yake mbaya.
Natanguliza shukrani.