Msaada: Mchepuko umenipa gono, zinaa sasa basi

Story yako nzuri, lakini ukigonga demu mwenye gono majibu unayapata asubuhi yake tu, wala hausubiri akupigie. Tumia condom bob, ni hatari utakufa. Mimi nilikuwaga natembea na dem moja, tulipozoweana nikawa nagonga kavu, baadaye yule demu akaenda kupima akaonekana yuko chanya, kwa uzuri kabisaa akaniita akanieleza na kunishauri na mimi nikapime....mwanaume jasho la ulimi lilitoka, baadaye nikapata nguvu nikapima nikakuta negative, sikuamini nikarejea kupima sehemu mbalimbali mara kibao....sasa hivi nimekoma ndugu yangu sigongi bila condom kamwe! tena nimehamia kwa madokta na manesi maana full kutembea na vipimo kwenye mkoba haumgongi bila kupima!

Mkuu Hilo Nimeahidi Kulizingatia.Kuanzia Sasa Sichezi Tena Peku.Labda Kwa Shemeji Yenu Tu Waukwe.E!
 
Muwe mnaviombea na kabla ya kuvila sio tuwafanyie maombi baada ya kuvla ili msiwe gridin
 
Pole.

At least wrap it up. Umechukua gono lile lingine kunwa lao nalo ukapime.

Afadhali naona watu wanaacha habari za "rafiki yangu kaniambia kapata gono".
 
nazingatia pipi na ganda itatoa ladha pole pole

Ongera Sana Mkuu Km Unalizingatia Hilo.Ila Naomb Unisamehe Sana.Jina Lako Nimeliandika Kwa Wino Mwekundu.Nilidhani Na Wewe Ni Mmoja Wa Wale Vichwa Ngumu.Wazee Wa Bora Liende Kama Kamanda Wangu Shy Land.Nachukua Nafasi Hii Kukutaka Radhi!
 
Marupurupu ya Uzinzi ni Magonjwa ya zinaa!! Nenda hospital...hakuna haja ya kuona aibu. The earlier the better. Pole mkuu
 
Ntashukuru Sana Mkuu Eve Kwa Maombi Na Ukemee Kweli.Ila Hiyo Ngoma Husipende Kuitajataja Sana.Si Unajua Kua Mdomo Unaumba??!

ungewahi maombi kabla ya.kutenda dhambi ushaangukia pua we nenda angaza tu ha ha ha
 
Ngoja Aje Mkuu Shy Land Anisaidie.Kama Katika Pitapita Zake Ameshawai Kujaribu Hii Kitu Ikafanya Kazi Vizuri

Unahangaika na huyu bwana MO11. subiri nikulete link ili umtambue vizuri
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom