Ewe mwanamke ukiona U.T.I hazikuishi tafakari mapema ratiba yako ya tendo na mwenza wako

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,867
3,586
Kumekuwa na kesi nyingi za akinamama na wanawake kwa ujumla za kuumwa mara kwa mara UTI na magonjwa mengine ya zinaa na kibaya zaidi magonjwa hayo kujirudia hata baada ya kupata matibabu.

Nipo hapa kuwaambia ivi magonjwa mengi kwa sasa yana dawa ikiwa pamoja na haya ya zinaa na kama umefuata masharti swsw ya matumizi ya dawa uwezekano wa kupona upo.

Sababu ya magonjwa kujirudia kwa mtazamo wangu zinaletwa na michepuko. Baba anachepuka anapata UTI au ugonjwa mengine ya zinaa anakuletea wewe.

Wababa wengi hata humu Jf wamekuwa wakilalamika kunyimwa tendo na wenza wao tena wengine ni wake zao wq ndoa. Kwa mimi huu naona ndio mzizi wa matatizo haya.

Wanawake mnatakiwa kujua lile tendo kwa wanaume ni hitaji la msingi sio anasa na usipompa wewe atalitafuta tu uko kwingineko. na ikifika apo ishu inakuwa ni kutuliza kiu kwanza na mambo ya usalama wa afya yanakuwa sio kipaumbele tena mwisho wa siku anakuletea ayo magonjwa yasiyokwisha.

Kama mnakomoana basi tafuta engo zingine za kukomoana lakini sio kunyima tendo maana hapo unakuwa unajitafutia matatizo wewe mwenyewe.

Usiseme sijakuambia.
 
Kama nimeelewa, mwanaume anayechepuka ndio carrier, anabeba UTI kwenye mihangaiko huko na kumletea mwanamke!
  • Mwanamke anayempa huyo mwanaume anatoa wapi hiyo makitu, uchafu?
  • Kama uchafu, huyu wa jamaa ni msafi kiasi gani?

Kama ndivyo, UTI iorodheshwe kwenye gonjwa la zinaa tu.
 
ni kweli,,mwanaume aliyekosa segs ya kutosha kutoka kwa mwenza anaamua kwenda kwa mchepuko au michepuko anapata magonjwa ukouko anayaleta kwa mwenza anayeishi nae
 
Kumekuwa na kesi nyingi za akinamama na wanawake kwa ujumla za kuumwa mara kwa mara UTI na magonjwa mengine ya zinaa na kibaya zaidi magonjwa hayo kujirudia hata baada ya kupata matibabu.

Nipo hapa kuwaambia ivi magonjwa mengi kwa sasa yana dawa ikiwa pamoja na haya ya zinaa na kama umefuata masharti swsw ya matumizi ya dawa uwezekano wa kupona upo.

Sababu ya magonjwa kujirudia kwa mtazamo wangu zinaletwa na michepuko. Baba anachepuka anapata UTI au ugonjwa mengine ya zinaa anakuletea wewe.

Wababa wengi hata humu Jf wamekuwa wakilalamika kunyimwa tendo na wenza wao tena wengine ni wake zao wq ndoa. Kwa mimi huu naona ndio mzizi wa matatizo haya.

Wanawake mnatakiwa kujua lile tendo kwa wanaume ni hitaji la msingi sio anasa na usipompa wewe atalitafuta tu uko kwingineko. na ikifika apo ishu inakuwa ni kutuliza kiu kwanza na mambo ya usalama wa afya yanakuwa sio kipaumbele tena mwisho wa siku anakuletea ayo magonjwa yasiyokwisha.

Kama mnakomoana basi tafuta engo zingine za kukomoana lakini sio kunyima tendo maana hapo unakuwa unajitafutia matatizo wewe mwenyewe.

Usiseme sijakuambia.
Duuuuh
 
UTI sio ugonjwa wa zinaa, jielemishe kwanza ndio uje kutoa ushauri hapa!
 
According to CDC​

What is a urinary tract infection (UTI)?​

UTIs are common infections that happen when bacteria, often from the skin or rectum, enter the urethra, and infect the urinary tract. The infections can affect several parts of the urinary tract, but the most common type is a bladder infection (cystitis).
Kidney infection (pyelonephritis) is another type of UTI. They’re less common, but more serious than bladder infections.

Risk Factors​

Some people are at higher risk of getting a UTI. UTIs are more common in females because their urethras are shorter and closer to the rectum. This makes it easier for bacteria to enter the urinary tract.
Other factors that can increase the risk of UTIs:
  • A previous UTI
  • Sexual activity
  • Changes in the bacteria that live inside the vagina, or vaginal flora. For example, menopause or the use of spermicides can cause these bacterial changes.
  • Pregnancy
  • Age (older adults and young children are more likely to get UTIs)
  • Structural problems in the urinary tract, such as enlarged prostate
  • Poor hygiene, for example, in children who are potty-training

Symptoms​

Symptoms of a bladder infection can include:
  • Pain or burning while urinating
  • Frequent urination
  • Feeling the need to urinate despite having an empty bladder
  • Bloody urine
  • Pressure or cramping in the groin or lower abdomen
Symptoms of a kidney infection can include:
  • Fever
  • Chills
  • Lower back pain or pain in the side of your back
  • Nausea or vomiting
Younger children may not be able to tell you about UTI symptoms they are having. While fever is the most common sign of UTI in infants and toddlers, most children with fever do not have a UTI. If you have concerns that your child may have a UTI, talk to a healthcare professional.
On This Page
Urinary Tract Infection
In females, bacteria from the skin or rectum can travel up the urethra and cause a bladder infection.
A female urinary tract, including the bladder and urethra. This image shows how bacteria from the skin or rectum can travel up the urethra and cause a bladder infection.
resize iconView Larger
Viruses or Bacteria? What's got you sick?
Virus or Bacteria What’s got you sick?image icon
baby icon Talk to a healthcare professional right away if your child is younger than 3 months old and has a fever of 100.4 °F (38 °C) or higher.

When to Seek Medical Care​

Talk to your healthcare professional if you have symptoms of a UTI or for any symptom that is severe or concerning.
Taking antibiotics, prescribed by a healthcare professional, at home can treat most UTIs. However, some cases may require treatment in a hospital.

Treatment​

Your healthcare professional will determine if you have a UTI by:
  • Asking about symptoms
  • Doing a physical exam
  • Ordering urine tests, if needed
Bacteria cause UTIs and antibiotics treat them. However, any time you take antibiotics, they can cause side effects. Side effects can include rash, dizziness, nausea, diarrhea, and yeast infections. More serious side effects can include antibiotic-resistant infections or C. diff infection, which causes diarrhea that can lead to severe colon damage and death. Call your healthcare professional if you develop any side effects while taking your antibiotic.
Sometimes other illnesses, such as sexually transmitted diseases, have symptoms similar to UTIs. Your healthcare professional can determine if a UTI or different illness is causing your symptoms and determine the best treatment.

How to Feel Better​

If your healthcare professional prescribes you antibiotics:
  • Take antibiotics exactly as your healthcare professional tells you.
  • Do not share your antibiotics with others.
  • Do not save antibiotics for later. Talk to your healthcare professional about safely discarding leftover antibiotics.
Drink plenty of water or other fluids. Your healthcare professional might also recommend medicine to help lessen the pain or discomfort. Talk with your healthcare professional if you have any questions about your antibiotics.

Prevention​

You can help prevent UTIs by doing the following:
  • Urinate after sexual activity.
  • Stay well hydrated.
  • Take showers instead of baths.
  • Minimize douching, sprays, or powders in the genital area.
  • Teach girls when potty training to wipe front to back.
 
Kumekuwa na kesi nyingi za akinamama na wanawake kwa ujumla za kuumwa mara kwa mara UTI na magonjwa mengine ya zinaa na kibaya zaidi magonjwa hayo kujirudia hata baada ya kupata matibabu.

Nipo hapa kuwaambia ivi magonjwa mengi kwa sasa yana dawa ikiwa pamoja na haya ya zinaa na kama umefuata masharti swsw ya matumizi ya dawa uwezekano wa kupona upo.

Sababu ya magonjwa kujirudia kwa mtazamo wangu zinaletwa na michepuko. Baba anachepuka anapata UTI au ugonjwa mengine ya zinaa anakuletea wewe.

Wababa wengi hata humu Jf wamekuwa wakilalamika kunyimwa tendo na wenza wao tena wengine ni wake zao wq ndoa. Kwa mimi huu naona ndio mzizi wa matatizo haya.

Wanawake mnatakiwa kujua lile tendo kwa wanaume ni hitaji la msingi sio anasa na usipompa wewe atalitafuta tu uko kwingineko. na ikifika apo ishu inakuwa ni kutuliza kiu kwanza na mambo ya usalama wa afya yanakuwa sio kipaumbele tena mwisho wa siku anakuletea ayo magonjwa yasiyokwisha.

Kama mnakomoana basi tafuta engo zingine za kukomoana lakini sio kunyima tendo maana hapo unakuwa unajitafutia matatizo wewe mwenyewe.

Usiseme sijakuambia.
kama inajirudia rudia,
pamoja na pendekezo lako zuri sana kuhusu mchepuko mwenye U.T.I, lakini pia ni vizuri kuchunguza vyema afya yako huenda lipo tatizo la msingi ndani yako ambalo bila kutibu kikamilifu kwanza hilo, basi haya mengine yanaweza kua hayawezi kupona na kwisha kabisa kwasababu hiyo.....

cheki kwanza typhoid na malaria na uitibu vizuri halafu tuone...
 
User name iko kiume, comment ina-suggest otherwise!

Kwanini sasa upigwe peku?

Ukizungumzia kupigwa peku, unaamsha walio lala!
mkuu we labda mgeni humu jF

ukichunguza mambo ya watu humu utapata sonona mwisho ufe kwa presha
 
Bora UTI kuliko Grid ya Taifa, bora grid kuliko cancer, bora cancer kuliko ukutwe na mke wa mtu.. hadi apo unanimanya tunaenda sawa?
 
Back
Top Bottom