Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,212
- 1,364
wadau, habari ya saa hizi, naomba msaada wa neno husika hapo juu kwa kiingereza
mboga ni vegetables au umekusudia mboga as kitoweo/ kitoweleo?
Vegetables
wadau, habari ya saa hizi, naomba msaada wa neno husika hapo juu kwa kiingereza
Na ile style ya kichuma mboga si inaitwa dog style? Basi utafiti wetu uanzie hapa kwenye dog style
Unaumwa wewe...Na ile style ya kichuma mboga si inaitwa dog style? Basi utafiti wetu uanzie hapa kwenye dog style
Na ile style ya kichuma mboga si inaitwa dog style? Basi utafiti wetu uanzie hapa kwenye dog style
Na ile style ya kichuma mboga si inaitwa dog style? Basi utafiti wetu uanzie hapa kwenye dog style
Nafikiri Wazungu kwa ulaji wao, hawana kitu kama hicho kama MBOGA kwa Kiswahili ikiwa na maana ya kitoweo.
Neno pekee linaloweza kuwa limekaribia kwenye tafasiri nzuri ya neno MBOGA ni kubadili kwenda kwenye MCHUZI.
Ila sasa wakati sisi MCHUZI maana yake ni MAJI tu bila majani au nyama, wao MCHUZI ni ile MBOGA YOOTE.
Hivyo basi kwa kuangalia tabia na mwenendo wa Wazungu, neno Mboga kwa Kiingereza inabidi useme SAUCE. Ila kwa wenzetu inabidi tu uongeze kitu gani muhimu umeweka kama "nyama ya kuku, ng'ombe, mbuzi......" pia vitu kama Mlenda, Bamia, Kisamvu, Samaki, Papai, Njugu, Maharage, nk.
Kiswahili ni lugha dhaifu sana na ndiyo maana neno MBOGA linatumika maana mbili yaani Mboga za majani na Kitoweo. Ukisema kitoweo ndipo sasa unakuja kwenye hilo neno juu yaani "Chicken souce, fish souce, beans souce ............."
Kiswahili chenyewe mboga ina maana kibao!! kutegemeana na utamaduni wa maakulli, sasa ukivuka utamaduni, hadi bahari unategemea nini? Wenzetu main dish ni proteins, sie main dish ni starch
sie wachaga mboga ni majani tu, na labda kidogo yale manyanya, karoti nk. labda greens kwa kiingereza, na ni chakula cha watoto na mbuzi tu. Wanaume hawali mboga aka majani,
vitoweo kama samaki, nyama, kuku vimekuja miaka hii hii ya ukoloni na uhuru, hivyo mara nyingi mapishi yake huwa mchuzi.
kwa hio tunaita hizi 'mboga' za mjini, mchuzi.. hakuna general term labda siku hizi.
Mie mwenyewe bado siwezi kutumia hilo neno mboga nikiwa na maana ya nyama/proteins, hadi leo hii.
Na ile style ya kichuma mboga si inaitwa dog style? Basi utafiti wetu uanzie hapa kwenye dog style