msaada '''mboga'' - kwa kiingereza

mboga ni vegetables au umekusudia mboga as kitoweo/ kitoweleo?
 
Vegetables

vegetables naona kama imebase zaidi kwenye mboga za majani, lakini tukisema mboga as mboga kwa kiswahili, ni general term inayoweza kutumika hata kwenye dagaa, nyama, samaki, kuku, cabbage, mboga za majani and soo on, soo nlichokua naomba kujulishwa ni mboga as a general term kwa kiingereza
 
concept ya ugali/rice/chapati versus mboga (aina yoyote) is not an english concept. wanakulaga poridge na mkate, vyote ni ngano... au wanaweza kula steak na salad, vyote ni mboga. so unasema veggetables (mboga majani) or "source of proteins" ambayo ni maharagi, mayai, samaki, nyama etc
 
Kiswahili chenyewe mboga ina maana kibao!! kutegemeana na utamaduni wa maakulli, sasa ukivuka utamaduni, hadi bahari unategemea nini? Wenzetu main dish ni proteins, sie main dish ni starch

sie wachaga mboga ni majani tu, na labda kidogo yale manyanya, karoti nk. labda greens kwa kiingereza, na ni chakula cha watoto na mbuzi tu. Wanaume hawali mboga aka majani,
vitoweo kama samaki, nyama, kuku vimekuja miaka hii hii ya ukoloni na uhuru, hivyo mara nyingi mapishi yake huwa mchuzi.
kwa hio tunaita hizi 'mboga' za mjini, mchuzi.. hakuna general term labda siku hizi.
Mie mwenyewe bado siwezi kutumia hilo neno mboga nikiwa na maana ya nyama/proteins, hadi leo hii.
 
Nafikiri Wazungu kwa ulaji wao, hawana kitu kama hicho kama MBOGA kwa Kiswahili ikiwa na maana ya kitoweo.

Neno pekee linaloweza kuwa limekaribia kwenye tafasiri nzuri ya neno MBOGA ni kubadili kwenda kwenye MCHUZI.

Ila sasa wakati sisi MCHUZI maana yake ni MAJI tu bila majani au nyama, wao MCHUZI ni ile MBOGA YOOTE.

Hivyo basi kwa kuangalia tabia na mwenendo wa Wazungu, neno Mboga kwa Kiingereza inabidi useme SAUCE. Ila kwa wenzetu inabidi tu uongeze kitu gani muhimu umeweka kama "nyama ya kuku, ng'ombe, mbuzi......" pia vitu kama Mlenda, Bamia, Kisamvu, Samaki, Papai, Njugu, Maharage, nk.

Kiswahili ni lugha dhaifu sana na ndiyo maana neno MBOGA linatumika maana mbili yaani Mboga za majani na Kitoweo. Ukisema kitoweo ndipo sasa unakuja kwenye hilo neno juu yaani "Chicken souce, fish souce, beans souce ............."
 
shukrani sana mkuu,,, u r one among the very good great thinkers
 
Kiswahili chenyewe mboga ina maana kibao!! kutegemeana na utamaduni wa maakulli, sasa ukivuka utamaduni, hadi bahari unategemea nini? Wenzetu main dish ni proteins, sie main dish ni starch

sie wachaga mboga ni majani tu, na labda kidogo yale manyanya, karoti nk. labda greens kwa kiingereza, na ni chakula cha watoto na mbuzi tu. Wanaume hawali mboga aka majani,
vitoweo kama samaki, nyama, kuku vimekuja miaka hii hii ya ukoloni na uhuru, hivyo mara nyingi mapishi yake huwa mchuzi.
kwa hio tunaita hizi 'mboga' za mjini, mchuzi.. hakuna general term labda siku hizi.
Mie mwenyewe bado siwezi kutumia hilo neno mboga nikiwa na maana ya nyama/proteins, hadi leo hii.

aika sana haika,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom