Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Arusha

Nadhani vizuri tuanze na wewe mishe zako zitakua wapi ili upate sehemu poa ambayo hauhitaji kuendesha gari muda mrefu to work
 
Nenda sakina chukua nyumba upande wa kushoto kama unaenda ngaramton anzia kibanda maziwa mpaka njia ya burka au raskazone kuanzia raskazone mpaka arusha meat Chukua upande wa kulia Kama unaenda ngaramton pia shamsi hadi soko mjinga upande wa kulia kama unatoka mjini pako bomba hzo sehemu kuingia town n easy maeneo kuanzia mianzin mpaka sanawari nyumba nyingi n mbovu alafu utajikuta unakaa kwenye boma la waarusha na utaanza kufuata Sheria za kiarusha bila kupenda huko njiro moshono morombo ngaramton kuna changamoto zake masika tope kiangaz vumbi
 
ahsante kwa hii insight mkuu...ahsante sana
 
Wakuu vipi kuhusu kijenge maana na Mimi Niko Sanawari nataka nitafute sehemu nyingine lakini iwe karibu na town maana huyu muarusha nimeshindwa kuishi naye .
 
Kijenge Mwanama ndo pazuri pazuri
K juu n kama ungalimited labda upandishe juu zaid huko matindigani
 
Sentense ndefu hii. Shule ya msingi uliruka, nini?
Nenda sakina chukua nyumba upande wa kushoto kama unaenda ngaramton anzia kibanda maziwa mpaka njia ya burka au raskazone kuanzia raskazone mpaka arusha meat Chukua upande wa kulia Kama unaenda ngaramton pia shamsi hadi soko mjinga upande wa kulia kama unatoka mjini pako bomba hzo sehemu kuingia town n easy maeneo kuanzia mianzin mpaka sanawari nyumba nyingi n mbovu alafu utajikuta unakaa kwenye boma la waarusha na utaanza kufuata Sheria za kiarusha bila kupenda huko njiro moshono morombo ngaramton kuna changamoto zake masika tope kiangaz vumbi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom