Daffi Jr
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 3,825
- 906
Madaktari nawaombeni msaada wa ushauri na tiba katika hili,nimeotwa na maupele madogo mgongoni yakifuata uti wa mgongo,
yanawasha,nikikuna yanazidi kusogea!!!!!!!nimepatwa na wasiwasi sana kwa sababu nilidhani labda hali tu ya joto!!!but kwa hali inavyoendelea wasiwasi unazidi kunipanda!!!najua JF wapo madaktari wa kutosha wenye kunipa sababu yenye kusababisha hili, ushauri maridhawa na tiba ya kutatua hili tatizo kabla ya kuchukua hatua zaidi!!!
Hope mtanisaidia!!!
Mungu awabariki.