Msaada:maajenti wa vyuo mbalimbali vya nje

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
Tafadhali Wadau,
Naomba kuulizia maajenti wa vyuo mbalimbali vya nje waliopo Tanzania. Lakini wale ambao ni waaminifu na wanawakilisha vyuo ambavyo vinatambulika.
 
Unaweza kuniandikia PM kama unataka ushauri kwa vyuo vya UK tu.
Tafadhali Wadau,
Naomba kuulizia maajenti wa vyuo mbalimbali vya nje waliopo Tanzania. Lakini wale ambao ni waaminifu na wanawakilisha vyuo ambavyo vinatambulika.
 
uniserv wako mtaa wa samora kwenye lile jengo karibu na PPF house wanaliita harbour view tower bila kukosea floor ya tatu wako vizuri ni international agency hachukui pesa yako ila usiwe na haraka na uwe tayari kujibu maswali atakayo kuuliza vyuo vingi wanawatumia hawa jamaa wana branch nyingi duniani yaani ndio kazi yao sio kubahatisha na wanawahudumia watu wengi so unatakiwa kuwaona mapema kulingana na matakwa yako ya ratiba yako ya kusoma, all the best. tahadhari ukiona agency yoyote kakutangulizia eti kukudai pesa kimbia haraka bila kugeuka nyuma ni tapeli maana agency analipwa na chuo husika na sio wewe unaemlipa.yule yupo on behalf of uni iweje akutoze, mulika mwizi
 
Kaka kama una website yao naomba uitupie hapo.
 
Wapo gorofa ya kwanza apandie kwenye ngazi pale karibu na ofisi za tiGo ataona ngazi apande nazo.
 
Back
Top Bottom