Msaada link ya magame ya ps2

mkuu kama upo atown nishtue nikupe isos za game za ps2
 
mkuu kama upo atown nishtue nikupe isos za game za ps2

Mkuu hata mimi nahitaji sana hizo game ila kwa bahati mbaya juzi kati ndiyo nimetoka pale kijiji cha Mdori sasa nimehamisha makazi Dar.
Utatuzaidia sana kama utaweka link hapa ukumbini ili tupakue wenyewe bu isiwe kwa torrenz.
 
Thenkyu mkuu.
Je nikitaka kutumia flash kwenye console yangu badala ya Dvd unafanyaje fanyaje? au ukidownload hayo magame nanyonyesha flash inacheza fresh? ebu nipe Darasa Mkuu.

Sidhani kama itakuwa rahisi ki hivyo coz nilijaribu nikakwama nimegoogle nikakuta kuna mlolongo mrefu lazima ufuate ndiyo uweze kucheza game kwa Pen drive
 
Back
Top Bottom