Msaada laptop iwe faster kulogin wna jf

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Laptop yangu LG Ina Ram 1GB, HDD 110 na window Vista pamoja na Ofice 2007. Sasa nimeweka Program nyingi za kuangalia picha kama MPE Cutter, VLN, Real player, NPD Converter, n.k pia ina Ant virus ya Kasperk sasa ukilogin inakuwa slow.

Kila ukitaka kufungua kitu inachukua minute sasa pia wakati wa kuzima inachukua muda. Naomba msaada ili isiwe ikiwaka inaangalia program zote nataka kitu cha muhimu tu kiangalie ndo iwake. Au kama kuna njia yoyote ya kufanya iwake fast.

Please wana JF
 
Tafuta Windows 7 kama unaweza, iko faster.
Ushauri mwengine ni kuondoa option ya Auto startup ("Start when windows start") kwenye program zako. Mara nyingi iko kwenye Options au kwenye settings kwenye program yenyewe. Pia kwenye Start Menu >> Startup . Ondoa vitu vilivyomo huko.

Kuna program ambazo zinaweza kukusaidia na hilo kama.
Ashampoo StartUp Tuner

http://download.cnet.com/Ashampoo-StartUp-Tuner/3000-2094_4-10699435.html

Pia Unless kweli unaihitaji hiyo Real Player nakushauri uiondoe, inajulikana kwa kula resources ovyo. Install Media Player Classic inacheza most RealVideo files na iko light: http://www.free-codecs.com/download/Media_Player_Classic.htm
 
ushauri wangu nni kwamba kama unaelewa english ! compyuta yangu ilikuwa ina same problems lakini nilivyotumia program hii TUneup Utilities 2010 basi inastartup faster zaidi na kuzima haraka!kwa seconds tu!Program hii hapa http://www.tune-up.com/download/

Andika email yako hapo kisha they will give u a link to the program!
 
Laptop yangu LG Ina Ram 1GB, HDD 110 na window Vista pamoja na Ofice 2007. Sasa nimeweka Program nyingi za kuangalia picha kama MPE Cutter, VLN, Real player, NPD Converter, n.k pia ina Ant virus ya Kasperk sasa ukilogin inakuwa slow.

Kila ukitaka kufungua kitu inachukua minute sasa pia wakati wa kuzima inachukua muda. Naomba msaada ili isiwe ikiwaka inaangalia program zote nataka kitu cha muhimu tu kiangalie ndo iwake. Au kama kuna njia yoyote ya kufanya iwake fast.

Please wana JF

Mkuu, Vista yenyewe tu inatumia sana memory..wenyewe MS wana recommend uwe na machine yenye memory ya kuanzia 1GB RAM. Hivyo unahitaji kuongeza RAM/Memory kutatua tatizo lako.
 
Laptop yangu LG Ina Ram 1GB, HDD 110 na window Vista pamoja na Ofice 2007. Sasa nimeweka Program nyingi za kuangalia picha kama MPE Cutter, VLN, Real player, NPD Converter, n.k pia ina Ant virus ya Kasperk sasa ukilogin inakuwa slow.

Kila ukitaka kufungua kitu inachukua minute sasa pia wakati wa kuzima inachukua muda. Naomba msaada ili isiwe ikiwaka inaangalia program zote nataka kitu cha muhimu tu kiangalie ndo iwake. Au kama kuna njia yoyote ya kufanya iwake fast.

Please wana JF
How to Make My Laptop Work Faster

Step
1
Get rid your old files that are taking up space by performing a Disk Clean Up. Click Start, choose Accessories, then select System Tools and click Disk Clean Up.

Step
2
Run a Disk Defragment to compress your files to make more room and increase speed. Select Start, click Accessories, System Tools and finally choose Disk Defragmenter.

Step
3
Uninstall any programs you have not used in several months. You can do this on Mac computers by dragging the icon to the Trash Bin and on Windows by selecting Control Panel from the Start menu and selecting Add or Remove Programs.

Step
4
Clean off your desktop. Move any files you need to another place and delete the ones you don't need.

Step
5
Download anti-virus software. By running a virus scan, you can detect and delete any spyware or viruses that are slowing down your computer.
 
Suala kubwa linalosumbua hapo ni size ya RAM ikilinganishwa na ukubwa wa HDD, operating system sio mbaya kama kama utapata RAM za 2GB na kufanya storage ya files usizotumia mara kwa mara nje ya Laptop ( kama external HDD au Flush disk) kwa hili utaiongezea speed bila matatizo.

Nakutakia kila la heri katika kutekeleza ushauri uliopewa, kwani watu wamejitahidi kukueleza kila mmoja kwa uzoefu wake.
 
Jayfour_King nashukur mwana nakutakia kazi njema katika kujenga Taifa huru la walalahoi kama sisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom