Msaada kwenye tuta

123

Member
Feb 16, 2011
82
9
Wadau kuna modem Huawei mobile broadband HSPA+ USB slider model:E1820.sasa wanasema hii modem inakubali chip ya airtel and Vodacom.So nimejaribu kutumia Vodacom.after installation ina autorun page ya connection but when I click connect inaleta msg ya Network configuration error.nilifikiri labda nikwaajili natumia windom 7,hata kwenye XP inaleta msg hiyo hiyo.sijui tatizo ni nini.msaada kwa jamani.Asanteni
 
huu msemo mi unanitia kinyaa ''msaada kwenye tuta''...dah usituletee misemo ya michuzi humu!!!kama umeishiwa maneno tuambie
 
Hii modem sikununua ila nilibadilisha na mtu.nilimpa ya Voda ambayo ni single then akanipa ya multi sim card.ila chakushangaza ni kwamba,kwake ilikuwa ok.but after kuweka line zangu is a problem.I have tried in several machine but still gives me a some network configuration error.
 
Wadau naomba mnisaidie coz mambo yangu amesimasima,siwezi kuconnect.
 
Kwanza anglia driver za hiyo modem, je hakuna driver iliyo miss. Kama zipo ok!,Nenda dial connetion, halafu create connection kutoka huko.
 
Issue iliopo ni kwamba installation inakubali lakini when you click connect ndo inaleta hiyo connect configuration error.
 
Wadau
Nimepata solution ya modem ya voda.Kwanza kabisa ni kwamba hizi modem ambazo ni mult use ambazo niza Airtel,ni kwamba niza GSM,where by you can use it anywhere with any line(Vodacom,tigo,Airtel n Zantel) So kwa GSM configuration ni *99 then Vodacom.co.tz.So when u put those two parameters itaweza kukonect na ku surf,kitu ya kufanya ni kwamba kila utakapo weka line nyingine unabadilisha tu Vodacom unaweka either Airtel,tigo or zantel.co.tz. Then connect.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom