msaada kwenye Facebook

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
natumia Samsung chat G2222"duos
kila nikiingia facebook sioni sehemu ya kuchati..!
naomba msaada ili niweze kuona sehemu hiyo ya kuchat na marafiki!
 
mkuu simu huwa hazina instant messaging ya facebook unatakiwa udownload app kama ya fb chat au nimbuzz kukuwezesha wewe kuchat.
 
mkuu simu huwa hazina instant messaging ya facebook unatakiwa udownload app kama ya fb chat au nimbuzz kukuwezesha wewe kuchat.

huyu jamamaa nadhan anulzia chat ambayo huonekana ukiingia kwa cmu pale juu huwa wanaandika chats then wanaeka idadi ya waliopo online ila haiwi instant kama vle
nimmbuzz, ebuddy na nyngnezo

ila n vema atumie hzo app kulko hyo anayotaka yy
 
RAM ya iyo simu haiwezi manage instant mesej
Hata wats app sidhani kama inaweza kukubali kwenye ivo vodude chat222
 
Back
Top Bottom