Msaada kwa wenye uzoefu wa friji kati ya BOSS na Mr UK

Strong Side

Senior Member
Sep 17, 2019
186
302
Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?

Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali
 
Boss iko njema kabisa ikiwa hautapigwa kwa kuuziwa feki maana Wabongo kwenye inshu za uchakachuaji ni wa pili wakiongozwa na Nigeria.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini usiende na West point? Hiyo kampuni naikubali mnoo. Nilinua fridge 2008 na mpaka leo sijawahi badilisha gesi. Isitoshe naona kama feki hazipo au chache hapa kwetu.

Kwa boss naona feki zimekuwa nyingi, yaani ukiona fridge zinauzwa mpaka Swekeni huko nyingi ni copy. Kama shida ya ni hizo bland mbili, nakushauri tafuta Mr. UK.

Boss si unaona hata visub woofer vingi tu feki. Ukiweza kupata original uende Kariakoo kwenye Maduka makubwa ya wahindi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?

Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Natumia Boss toka mwaka 2016 aisee hii fridge nakubali sana, nilinunua pale Kkoo jirani na mtaa wa Kongo
 
Hakuna kama ZEC
1299273939.jpg
 
Boss iko njema mkuu,

Sema wabongo bana, mtu kaambiwa Boss na Mr. Uk anakuja kusema Samsung, unadhani hakuna anaelenda fridge za Samsung? Changamoto mfuko na ndo mana tunaomba ushauri kwenye hizi zetu, kama huna ushauri wa hizi zetu tunaomba upite hiv
 
Boss ni mkataba.mimi ninazo 2 moja nilinunua 2008 nyingine 2010 hadi leo ziko njema.Ya 2008 kwasasa imeisha gas bado sijarekebisha ila zote ziko poa,sijajua matoleo ya sasa yakoje.Hiyo mr Uk sina uzoefu nayo.
 
Boss iko njema mkuu,

Sema wabongo bana, mtu kaambiwa Boss na Mr. Uk anakuja kusema Samsung, unadhani hakuna anaelenda fridge za Samsung? Changamoto mfuko na ndo mana tunaomba ushauri kwenye hizi zetu, kama huna ushauri wa hizi zetu tunaomba upite hiv
Wabongo wengi ni ujuaji wakishamba unatusumbua.
 
Zote hizi ni Chinese products Zina same quality, angalau nunua kwa duka la mhindi aliyeshiba dini
 
Kama ni boss nenda boss center Makao makuu Yao ila kwa pisi moja wanakupiga Bei ya kukukimbiza.
Wana prefer wanaochukua kwa jumla.
Ongea na wafanyakazi wao watakueleza duka gani kachukue mzigo og uliotoka dukani kwao
 
Back
Top Bottom