Msaada kwa wanaotumia simu za Samsung

namanyele

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,852
608
Nina kasimu kangu lakini sio ya kichina ni original Samsung GT-C3222,tatizo langu ni kwamba inashindwa kuplay baadhi ya video ninazo download kutoka You8 tube na waptric lakini ni baadhi ya video zingine zinakwenda,pia kwenye video za youtube haisupport hata kudownloa,hapo kutakuwa na tatizo gani? ninaweza kupata software ambayo ita support kufanya yote hayo? Nawasilisha.
 
baadhi ya video zinaplay nyengine haziplay
Hii inatokana na format ambayo simu inasuport. Common format za simu zipo 3 yaani mp4, 3gp na avi ni vizuri ukaangalia simu yako inasuport zipi na hii utaijua hivi

-unapodownload video ikakubali nenda option ya rename video then angalia herufi 3 za mwisho mfano itakua 3gp au mp4 au avi then utakayoaiona ujue inakubali kwa simu yako

-Same procedure kwa video zisizokubali angalia format zake ili uzijue (tumia njia ya juu)

Ukishajua format ipi inakubali na ipi inakataa itakua rahisi next time ukidownload kitu kuepuka vitu ambavyo simu yako haisuport

kudownload youtube

Kikawaida mkuu watu hawadownload youtube bali wanaangalia kule kule online kudownload inakua ni tricks tu hapa ntakupa njia 2 za kudownload.

1. View url yako ya youtube mfano ipo hivi

m.youtube.com/abcxyz then futa m na . Then ongeza ss ili iwe hivi

ssyoutube.com/Abcxyz

Click ok then utaweza ona option za kudownload.

2. Option hii ndo nzuri kama wewe huna ujuzi mkubwa wa internet unatumia website zinazograb video za yotube kama hizi hapa chini

Videos | Video Clips | Vuclip

Tubidy Mobile Video Search Engine

Just click video unayoipenda then download

kuhusu software

Il be back
 
Mkuu kuna simu kama hiyo ya huyo jamaa hapo juu(Humprey), naweza vipi kupata pdf reader(adobe reader)? Nimejaribu kudownload bila mafanikio
 
Acha nikushukuru kwa somo ulilompa jamaa atakua amenunua daftar akop hizo notes.Hapo tena akichemka ujue atakua bonge la kilaza kuliko yule wa 11964
 
asante mkuu,ht mi hii trick ya.kudownload youtube nimeidaka!!!mi nilikuwa natumia tubemate kudownloadia...
 
Ninauza simu yangu MPYA KABISA kama ya huyo jamaa hapo juu yan samsung GT-3222 jina lingine inaitwa samsung ch@t 322, unaweza kugoogle uione. Kama upo tayar ni pm Nikupe number yangu, nipo daR. Bei ni laki na arobaini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom