Msaada kwa waliocheza game ya Nuclear bike!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Hii game ya nuclear bike nimeipenda kwasab inahtaj control ya hali ya juu nimeenda nayo had stage ya 13 ambapo ile motor cycle inakuwa inajump hewan technically na haiend mbele msaada kwa walioicheza hv stage hii inahitaji nini ili kuenda mbele zaid?
 
Of course! hii game iko addicting sana, cha kufanya kwenye stage ya 13, angalia njia inavyoonekana kwa chini ndivyo ilivyo kwa ile ya hewani ilivyokaa, so jaribu kutumia hiyo hint. Ukipita hapo kuna stage nyingine mbili tu umalize.
Unaweza ku download challenging games nyingine kama hizi HAPA rahgames.com/category/arcade.html kama vile Nuclear bike 2
 
Back
Top Bottom