Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,369
- 54,771
Habari za humu wadau, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kufahamu vyema lugha ya Kingoreme nahitaji kusaidiwa jambo dogo tafadhali.
Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa hasa na wakazi wa Serengeti, Mkoani Mara.
Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa hasa na wakazi wa Serengeti, Mkoani Mara.