Msaada kwa hili wakuu.

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
685
175
Habari zenu wataalam wa techs nina laptop yenye specs zifuatazo 1GB ram,intel atom cpu N455@1.66GHz 1.67GHz ipo slow sana kwenye vitu vingi mfano magames nk..mimi si mjuzi sana kwenye mambo ya techs nipeni mawazo nifanyaje kuipa speed...
 
Inatumia window gani na application zake pia? Mfaano adobe cs4 inashauri pc yako iwe na minimum ya 2Gb Ram alafu kuna antivirus kama mcaffee virus scan enterprise inafanya machine ichelewe kuwaka hadi uzuie vitu fulani ktk services. Nakushauri kudownlod free version CCleaner upunguze unwanted files kwanza
 
Inatumia window gani na application zake pia? Mfaano adobe cs4 inashauri pc yako iwe na minimum ya 2Gb Ram alafu kuna antivirus kama mcaffee virus scan enterprise inafanya machine ichelewe kuwaka hadi uzuie vitu fulani ktk services. Nakushauri kudownlod free version CCleaner upunguze unwanted files kwanza[/QUO7TE]

nikweli mkuu na na pengine imewekwa win 7 ina nero ona office 2007 ina avast free,adobe cs4,yahoo msger,google crome,
mozila,games,na makorokoro mengine kibao hapo hapo hizo program pekeyake zinakula memory ya 800mb ktk 1GB unabakiwa na 200mb lazima mashine iwe slow uzuri wa mashine ya @1.66GHz ikiwa imewekwa win7 isipungue ram ya 2GB
 
Spec ndogo sana hizo lazima itakuwa slow, ni netbook hiyo? Hizo ni kwa ajili ya kusurf na kucheki youtube tu, usitegemee zaidi ya hapo.
 
kuipa speed huwezi ila unaweza kuipa ahueni kwa kufanya mambo kama haya

1. funga app zote zinazo autostart acha antvirus tu.

2. epuka magame makubwa vizuri yaonee magame madogo na cheza magame ya emulator za platform ndogo mfano nintendo ds

3.upunguze tamaa ya kuopen program nyingi kwa mpigo. mfano kama unabrowse just browse then kuscan pc badae maana kufanya vitu vingi kwa mpigo na specific chache utaumia mwenyewe

4. open task manager then fungua app nyingi then angalia katika processor na ram ipi inajaa kwanza? kama ram inajaa iongeze hata iwe 2gb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom