😂😂😂 Nimecheka hatariUpanga hapo ipo wushu class,jaribu kucheki cheki ,komaa na wushu ,kung fu yan hata ukimwaga vitumbua vya watu atayjichanganya ni mwendo wa kupasua kende
unataka kujifunza ngumi ndoige kama mandonga mtu kazi sio 🐒Habari,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu kwa hapa Bongo naweza wapi kupata mafunzo ya ngumi, karate, kwa ujumla mafunzo ya kujiweka physically fiti hata kwa mwaka mzima au miezi kadhaa ,yaani niive.
Msaada wenu please!
Kuna mpuuzi anamzibia njia kila akipita anamvua viatu alafu anamchapa na bapa la mgongo anataka akalipe kisasi km kwenye movieunataka kujifunza ngumi ndoige kama mandonga mtu kazi sio 🐒
Hzo karate zinaendana na umri..Habari,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu kwa hapa Bongo naweza wapi kupata mafunzo ya ngumi, karate, kwa ujumla mafunzo ya kujiweka physically fiti hata kwa mwaka mzima au miezi kadhaa ,yaani niive.
Msaada wenu please!
Wewe acha kumuongopea mwenzako.Hzo karate zinaendana na umri..
kama viungo vyako vimeshakomaa utajitesa bure
Upo maeneo gani?Habari,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu kwa hapa Bongo naweza wapi kupata mafunzo ya ngumi, karate, kwa ujumla mafunzo ya kujiweka physically fiti hata kwa mwaka mzima au miezi kadhaa ,yaani niive.
Msaada wenu please!
ajifunze boxing kama age go.Hzo karate zinaendana na umri..
kama viungo vyako vimeshakomaa utajitesa bure