Msaada kwa anayejua kuhusu hili

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Habari wana JF(Jamvi)
website ya India Commission for Universities ni ipi ? au kwa anayejua chuo kilichopo India na Kutoa Faculty ya Doctor of Medicine anisaidie website ya chuo. msaada tafadhali

 
[h=3][/h][h=3] Habari wana JF(Jamvi)
website ya India Commission for Universities ni hipi au kwa anayejua chuo kilichopo India na Kutoa Faculty ya Doctor of Medicine anisaidie website ya chuo. msaada tafadhali

[/h]


Watakuja wataalam kukujibu.....!! ila hilo neno "hipi" ni la lugha gani?? au ulitaka kuandika "ipi"?
 
Anaweza akawa wakola waitu, kule alikotaka kutupora Idd Amin dada
 
GTA 3,4 & 5
GTA Vice city
GTA sanandreas
 
Back
Top Bottom