jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 392
- 743
Habari wana JF,
Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics.
Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant nimeutafuta sijauona.
Nikipata maswali mawili matatu itapendeza zaidi.
asanteni.l