Msaada kutoka kwa Pharmacist

Kisiwa

Senior Member
Oct 18, 2010
125
19
Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali.
Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua
1.Neuro support
2. Calcimag
3. Meloxicam

Natanguliza shukrani
 
Naomba uweke picha ya karatasi iliyoandikwa dawa na daktari(prescription) au picha ya kimfuko cha kufungia dawa(packaging bag) kikiwa kinaonesha maelezo ya matumizi ya dawa
 
Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali.
Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua
1.Neuro support
2. Calcimag
3. Meloxicam

Natanguliza shukrani
Hapo nashauri

Tumia Calcimag kabla ya kulala.

Asubuhi tumia Neurosupport na kidonge kimoja cha Meloxicam (kama umepewa vile vya once per day)
 
Aisee mtoa mada usilete masihara na dawa.
Rudi hospitali au Kama Kuna pharmacy unaweza kwenda kuuliza kiuhakika.
Humu jf utapewa majibu mengi Hadi utavurugwa.
 
Back
Top Bottom