Msaada kurudisha data zilipotea kwenye simu(android)

gamaweshi belo

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
453
173
kichwa cha habari kinajieleza wadau nilifanya factory data reset nikajikuta nimefuta vitu vyangu vya muhimu kama picha videos na mafaili mengine, tafadhali naomba mnisadie ni apps zipi nitumie kurudisha data zilizofutika bila kuroot simu yangu
 
Back
Top Bottom