Msaada kuhusu yahoo account

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Jamani nimepata hii mail kutoka yahoo mida hii

base.gif

Security Alert ,Your Yahoo account has expired.You must renew it immediately or your account will be closed.

click here to renew
Regards
Customers Service

Je ni kweli au? wajuzi nijuzeni
Asanteni
 
fanya lolote unalofanya ila usieke password katika website ambayo si yahoo. Hata kama appearence inafanana kila kitu lakin adress bar inaonesha sio yahoo then usieke
 
Asante sana acha ni click hiyo link afu niwatusi wasinichezee tena, maana nilijaribu ku reply ikaleta failure delivery, thanks for a rapid reply brother
 
tena uwaambie watukome!!!!!
Lakini uwe na uhakika hutapigwa ban.
 
tena uwaambie watukome!!!!!
Lakini uwe na uhakika hutapigwa ban.

Ahhhh ha ha ha yahoo nao wanapiga ban duh... mkuu sikusomi siku hizi upo?
pale kwenye password nimewawekea 'iamnotafool' watakuwa wanahangaika nayo saa hizi lol.
 
Hao watu ni wa Ghana wanataka kuhack email yako. Mkuu usilogwe na wala usihangaike nao. GM wangu naye aliwahi kupata hiyo email nikatrace IP nikaona imetoka ghana halafu kwa yahoo mail ukipoint kwa sener ina pop up baloon ikiwa inaonyesha email adress ya sender ambayo mwenyewe hutaielewa hata kidogo na hata Domain haijulikani.
 
asanta sana mkuu kwa alert, i feel covered
 
Back
Top Bottom