Msaada kuhusu TIA

Yasin Yahya

Member
Jan 18, 2013
33
0
Habar zenu?
Wakubwa eti majibu ya walio 0mba kujiunga na masomo kwa ngazi ya certificate yameshatoka?(TIA)
 
waliandika mwisho wa kupokea ma0mbi ni mwezi wa 8 trh 30 sasa nashindwa kuelewa unanyo niambia hvy
 
hapana labda ulisoma vibaya majina ya waliochaguliwa walishayaweka kwenye website yao. Home
 
0K!
Kama ukichaguliwa huwa wana kutext 0?
Na km haujachaguliwa pia huwa wanakutext au wanakuchunia tu?
 
unacheki net. Km uliomba angalia website majina bado yapo ya waliochaguliwa
 
nimeingia lakin naona inazngua.
Nimeangalia upande ule wa
Basic Technician Certificate in Accountancy hamna chochote kilicho andikwa ila nimecheki upand mwngine wa
Basib Technician Certificate in Accoutancy Evening inakubali.
 
nenda chuo adminstration ukawaulize direct, not all information are displayed on a website especially college website
 
Back
Top Bottom