Msaada kuhusu suala la mgawo wa mali za mirathi kwa mjane na watoto kisheria

mahunduhamza

Member
Aug 25, 2021
19
46
hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na wake wawili na kila mke ana watoto wa 2.

Mke wakwanza aliachika nataratibu za kugawana naye zimekwisha pita tangia muda saan,sas je kwa huyu mke na watto waliobakia mgawoo utakuaje
 
Back
Top Bottom