Mkulima aka peazant
Member
- Dec 18, 2011
- 20
- 2
naomben mnishaurreseach title mie nachukua economics na accounts in education
Mkulima aka Peazant wewe hufai kabisa. Yaani umeiba mtihani ukashinda kuingia sekondari. Umehonga na kupata madesa ukafanikiwa kuingia high school. Sasa uko chuoni tena unasoma kadigrii ka kwanza bado unaomba madesa online! Ukitoka hapo nawe ujisifie eti msomi. Laiti ungesoma Ulaya huenda ungekimbia shule mwenyewe. Maana hizo research papers hapa si moja wala kumi kila prof anataka research paper. Ukiingia kwenye masters ndiyo usiseme. Zaidi ya hapo sitaki nijisumbue kukueleza. Pia huku hakuna kudesa wala kusaidiwa online. Nimalizie kwa kukupa research title: Why Tanzania is offering her minerals and her president still manages to go shamelessly to beg from the very same guys he blindly offers all precious minerals and other public utilities at a throwaway price afer being given ten percent and all of his majordomos and cohorts.
Sasa kweli hiyo research title uliyompa,si ya kumkomoa au unafanya makusudi?