Msaada kuhusu mifuko ya pensheni.

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Jamani naomba wenye uzoefu na hii mifuko ya pensheni hasa PPF,NSSF na LAPF atueleze au afanye analytical comparison kati ya hii mifuko.imekua ni kawaida sana kwa wale wanaoajiriwa kwa mara ya kwa nza wanaletewa reg .form bila maelezo ya kina ya mifuko husika.

1.je ni lazima mtu kujiunga na mfuko wowote?
2.je mfuko husika unaweza kumkopesha muajiriwa wakati yuko kazini?
3.urahisi wa kudai mafao ukoje?
4.mfuko unahusisha maeneo gani-afya,elimu n.k

tusaidiane wanajf.
 
kila aliyejiunga wengi naona wanalalamika pesa zangu kunilipa shida usumbufu kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom