Ninatumia google chrome na internet explorer. Nimeongeza safari na opera, lakini ninapojaribu kuzitumia(opera na safari), zinashindwa kuunganisha mtandao na zineleta sms kwamba an error has ocurred.Nimejaribu ku-uninstal na ku-reinstal bado zinakataa. Je,linaweza kuwa tatizo gani? Google chrome na explorer zinafanya vizuri.