Mm tangu naanza kuwa na mahusiano sijawahi kukutana na binti bikra. Lakini sasa wakuu naomba kuuliza, imagine unakutana na binti bikra na hamjapanga kupata mtoto, je kuna uwezekano wa kutumia kondomu ili kuzuia mimba? Nauliza hvyo kwa maana kuna mtu aliniambia kuwa bikra ni ngumu sana kuitoa na sasa najiuliza, je ukivaa kondomu si inaweza kupasuka kwa sababu ya ugumu wa bikra? Nisaidieni ndugu zangu.