Msaada kuhusu Bandarini

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
wadau
nahitaji nipatiwe elimu kuhusu kutoa mzigo bandari ya DSM
Nina mzigo empty bottles unao elekea bandari ya DSM,tatizo nililo nalo ni kwamba
1,sijui TRA huwa wanatoza sh ngapi kwa mzigo kama huo
2.sijui gharama ya kuclear mzigo pindi utakapo wasili
3.Ni vitu gani muhimu niwe navyo (docoments) ili iniwie rahisi kutoa mzigo
4.ama kama kuna agent anaweza kutoa mzigo huo basi-nivyema aka ni PM ili niweze kuelewa gharama zake

maana kila nikijaribu kuwasiliana na TRA kupitia website yao sms yangu ipo pending

karibuni kwa kunipa maelekezo hayo
 
First of all you should bring all documents relating to that shipment.
 
Broo,pole,usikurupuke kuagiza Mzigo wowote nje ya nchi kama hujui ni kwa jinsi gani utautoa.....Ila kwa msaada zaidi,wasiliana na Maagent ambao wanapatikana Mtaa wa Samora jijini Dsm...
 
Back
Top Bottom